Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na Isco baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 10 na 48 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Celta Vigo Uwanja wa Balaidos mjini Vigo kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema dakika ya 70 na Toni Kroos dakika ya 88. Bao la Celta Vigo limefungwa na John Guidetti dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL world reacts to Bears picking Keyshaun Elliott in 2026 NFL Draft
-
The Chicago Bears selected linebacker Keyshaun Elliott in the 2026 NFL
Draft. Here's how fans are reacting.
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment