Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akisalimiana na aliyekuwa kiungo wa Simba, Patrick Mutesa Mafisango baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 17, mwaka 2011 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0, mabao ya Haruna Moshi ‘Boban’ dakika ya 15 na Felix Sunzu dakika ya 38. Leo ni miaka mitano tangu Mafisango afariki kwa ajali ya gari Mei 17, mwaka 2012 akiwa mchezaji wa Simba SC. Mungu amsamehe dhambi zake na ampumzishe kwa amani daima. Amin.
Accused WH correspondents’ dinner attacker is tutor and computer programmer
from California
-
WASHINGTON (AP) — Social media posts that appear to match the California
man arrested Saturday in the shooting at the White House correspondents’
dinner sh...
44 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment