Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akimtoka mchezaji wa Southampton katika mechi ya Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. Mary's timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Southampton walizawadiwa penalti ndani ya dakika tano za mwanzo baada ya Eric Bailly kuunawa mpira nje ya boksi, lakini kipa Sergio Romero akaokoa mkwaju wa Manolo Gabbiadini PICHA ZAIDI GONBA HAPA
Deadline’s Contenders Television Red Carpet: Rhea Seehorn, Glen Powell,
Johnny Knoxville & More
-
Deadline’s Contenders Television is back to celebrate this season’s
onscreen talents, with stars like Rhea Seehorn, Nick Offerman, Michael
Urie, Ashley Pad...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment