David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yamefungwa na Vincent Kompany dakika ya 49, Kelvin De Bruyne dakika ya 59, Raheem Sterling dakika ya 82 na Nicolas Otamendi dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Best available OL in 2026 NFL Draft: Updated results, top prospects still
on board
-
The latest news and notes from Pittsburgh.
55 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment