Mkufunzi wa kimataifa, Henry Tandau (kulia) akitoa somo kwa wana kozi ya uongozi wa soka iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambayo imeanza leo kwenye moja ya kumbi za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Azam, Philipo Alando na Mhasibu wa Bakhresa Group Limited, Abdulkarim Amin 'Popat' ambaye tayari amepitia mafunzo mbalimbali ya ukocha na uongozi ngazi za awali
Tandau akitoa somo kwa nadharia na vitendo. Kutoka kushoto ni Omar Kaaya, Meneja Masoko wa Yanga, Said Tuliy na Ally Suru Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba
Maofisa wa TFF, Mhasibu Danny Msangi (kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Wilfred McGustine Kidau
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba (kushoto) alikuwepo pia
Mwanamke pekee anayeshiriki kozi hiyo, Fatma Shibo wa Bodi ya Ligi
Washiriki wakimskiliza kwa makini Mkufunzi anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Tandau
Black Stars mourns death of fitness coach Romeo Ricky Roy
-
Black Stars have confirmed the passing of fitness coach Romeo Ricky
Roy."Sad to announce the sudden passing of our Fitness Trainer Ricky Roy
Romeo. May his...
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment