Diego Costa akimtungua kipa wa Middlesbrough, Brad Guzan kutoka umbali wa mita sita kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 23 Uwanja wa Stamford Bridge, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana. Chelsea ilishinda 3-0 mabao yake mengine yakifungwa na Marcos Alonso dakika ya 34 na Nemanja Matic dakika ya 64 matokeo ambayo yanaishuka daraja rasmi Boro huku Te Blues ikizidi kuukaribia ubingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
O'Sullivan-Higgins match set for thrilling finish
-
The World Championship last-16 tie between Ronnie O'Sullivan and John
Higgins is set for a dramatic end after the Scot closed the deficit to two
frames.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment