Wachezaji wa Chelsea wakimrusha juu koch wao, Antonio Conte kwa furaha baada ya kujihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa 4-3 dhidi ya Watford usiku wa Jumatatu Uwanja wa Stamford Bridge. Mabao ya Chelsea yalifungwa na John Terry dakika ya 22, Cesar Azpilicueta dakika ya 36, Michy Batshuayi dakika ya 49 na Cesc Fabregas dakika ya 88 wakati ya Watford yamefungwa na Etienne Capoue dakika ya 24, Daryl Janmaat dakika ya 51 na Stefano Okaka dakika ya 74. Chelsea imefikisha pointi 90 baada ya kucheza mechi 37 na sasa rasmi ni mabingwa wapya, wakirithi taji lililoachwa wazi na Leicester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Anioma monarchs, stakeholders endorse Nwoko for second term, backs South
East alignment
-
From Godwin Tsa, Abuja Izu Anioma, the umbrella body of all Anioma people
in Delta North, has endorsed Senator Ned Nwoko for a second term, citing
his le...
8 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment