Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimkwida beki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
Tambwe alilazimika kumfanyia hivyo beki huyo baada ya kuzidisha kumchezea "kindava"
Kama inavyoonekana hapa, beki huyo amemshika mikono Tambwe wakati wakisubiri mpira wa kona
Hapa Tambwe anajaribu kujinasua kwenye mwili wa beki huyo
Beki huyo akiwa amemshika Tambwe wakati wa mpira wa kona
Hapa ameshika tena ili asiuwahi mpira
Na hapa amesmhika pia wakati wakisubiri mpira wa kona
Sports ask government to address water pollution
-
Water-based sports across the UK are uniting to call on the government to
take urgent action to address pollution in rivers, lakes and coastal waters.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment