Mchezaji anayetakiwa Ligi Kuu ya England, Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia Monaco mabao mawili dakika za 19 na 79 katika ushindi wa 3-2 ugenini dhidi ya wenyeji, Borussia-Dortmund usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal-Iduna-Park, Dortmund. Bao lingine la Monaco lilifungwa na Sven Bender aliyejifunga dakika ya 35 wakati Fabinho alikossa penalti mapema dakika ya 17 na kuinyima mabao zaidi timu ya Ufaransa. Mabao ya Dortmund yalifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 57 na Shinji Kagawa dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Dabiri-Erewa congratulates Nigerians breaking UK politics glass ceilings
-
From Juliana Taiwo-Obalonye, Abuja Chairman/CEO, Nigerians in Diaspora
Commission (NiDCOM), Abike Dabiri-Erewa, has congratulated Adekunle
Osibogun, Opey...
54 minutes ago
0 comments:
Post a Comment