Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 100 kwenye michuano ya klabu Ulaya, kufuatia kuifungia Real Madrid mabao yote mawili dakika za 47 na 77 ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji Bayern Uwanja wa Munich Allianz Arena mjini Munich katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Arturo Vidal alianza kuwafungia wenyeji dakika ya 25 akimalizia pasi ya Thiago Alccntara, lakini akapiga juu mkwaju wa penalti dakika ya 45 ambao Bayern walizawadiwa baada ya Dani Carvajal kuunawa mpira PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment