Mfungaji wa bao pekee la Atletico Madrid, Antoine Griezmann kwa penalti dakika ya 28 katika ushindi wa 1-0 akiwa hewani kuwania mpira dhidi ya wachezaji wa Leicester City, Danny Drinkwater na Ndindi (kulia) katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid. Penalti hiyo ilitolewwa baada ya Marc Albrighton kumchezea rafu Griezmann nje ya boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment