Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe (kulia) Uwanja wa Kaitaba, Bukoba leo wakati timu yao ikicheza na wenyeji Kagera Sugar na kufungwa 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
Hans Poppe (kulia) na Kaburu kushoto hawakuamini kama Simba imefungwa na Kagera Sugar leo
Hapa sijui Kaburu anamuambia nini Hans Poppe anayesikiliza kwa makini
Hans Poppe anamjibu Kaburu hapa. Walijadiliana nini?
Kulia kabisa ni Katibu wa Chama Soka Kagera (KRFA), Salum Umande Chama ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)




0 comments:
Post a Comment