Beki wa Yanga, Vincent Bossou akifanya mazoezi ya peke yake jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kujiunga na wenzake kufuatia kurejea kutoka kwao Togo, baada ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Gabon mwaka huu. Togo ilitolewa mapema tu baada ya hatua ya makundi.
0 comments:
Post a Comment