Kikosi cha Yanga timu ya vijana ya Yanga, ambacho mwaka 1973 kilikwenda mjini Mwanza kwenye sherehe za mashindano ya uzinduzi wa timu ya Toto Africans, ambayo ni tawi la klabu hiyo mjini humo. Waliosimama kutoka kulia Mzee Kwala, Sululu, Chotta, Muhamed Mkweche, Muhamed Yahaya "Tostao" (anaechungulia jina lake halikupatikana) Kassim Manara na Shiraz Shariff (wawili wa mwisho majina yao hayakupatikana). Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Abdulrahman, Kibonge, Bilal Kabange, Muhamed Rishard Adolph, Mohammed Sengendo, Gordian Mapango, Jaffar Abdulrahman (wawili waliobaki majina yao hayakupatiakana na kati ya mmoja wao ni Dk Ramadhani Dau
UNICEF commends Mbah’s consistent 33% allocation to education
-
The United Nations Children’s Fund (UNICEF) has commended the Peter Mbah
Administration in Enugu State for consistently allocating over 33 per cent
of th...
55 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment