![]() |
| Ally Mustafa 'Barthez' akisalimiana na Amri Kiemba baada ya mechi |
![]() |
| Barthez na Chollo |
![]() |
| Waghana; Yaw Berko na Daniel Akuffo wa Simba |
![]() |
| Barthez na Kaseja |
![]() |
| Kocha wa Yanga, Ernie Brandts |
![]() |
| Simba wanapsaha |
![]() |
| Yanga wanapasha |
![]() |
| Msafiri Mgoyi kazini |
![]() |
| Mashabiki wa Simba |
![]() |
| Kiemba akipongezwa kwa bao la kuongoza |
![]() |
| Simba wakishangilia bao la kutangulia |
![]() |
| Bahanuzi anaweka mpira gambani mbele ya Kapombe, Paul Ngalema akiwa tayari kusaidia |
![]() |
| Hapa Bahanuzi alimuumiza Kapombe, anatibiwa huku wachezaji wa Simba wakimlalamikia refa Akrama |
![]() |
| Hesabu za Kapombe kwenye mpira...kubali, kataa, dogo bonge la beki |
![]() |
| Kapombe anamdhibiti Bahanuzi |
![]() |
| Haruna anatafuta maarifa ya kumtoka Jonas Mkude |
![]() |
| Cannavaro chupuchupu afunge kwa kichwa hapa |
![]() |
| Paul Ngalema akimdhibiti Kiiza Diego |
![]() |
| Niyonzima akimsema ovyo Nyosso baada ya kufanyiwa 'undavaku' |
![]() |
| Nizar Khalfan kulia na Mrisho Ngassa kushoto |
![]() |
| Mrisho anamkaba Mwasyika |
![]() |
| Mashabiki wa Simba |
![]() |
| Chollo anamdhibiti Bahanuzi |
![]() |
| Kavumbangu anawashughulisha mabeki wa Simba..ameenda hewani kutoa pasi ya kichwa kwa Bahanuzi |
![]() |
| Iddi Moshi akiingia na mwanawe Amran |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga katikati |
![]() |
| Kocha Mkuu wa taifa Stars, Kim Poulsen kulia, katikati kocha wa timu za vijana, Jacob Michelsen na mpenzi wake kushoto |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Isaac Shekiondo |
![]() |
| Wadau |
![]() |
| Alex Mgongolwa kushoto akiwa na Mohamed Bhinda |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia akiwa na beki na kocha wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo |
![]() |
| Alikuwa anaangalia mpira nyuma ya lango la Simba |
![]() |
| Simba wanaingia |
![]() |
| Friends Of Simba 'wanakaba' |
![]() |
| Friends Of Simba |
![]() |
| Yanga wanapasha |
![]() |
| Vigogo wa Simba |







































.png)
0 comments:
Post a Comment