HAYA NI MAONI YA MDAU WA SOKA, KUHUSU YANGA...
![]() |
| Patrick Kahemele, mmoja wa waliochangia mada |
SOMA: Najua nia ya mwenyekiti wa
yanga ni nzuri na jitahada zake zimeonekana,lakini ni ukweli usiopingika
amefeli..Mwenyekiti amefeli kutokana na kuzidiwa na timu nje na ndani..kuingoza
club kubwa kama yanga kunahitaji ujuzi wa ziada na uzoefu wa
mikikimikiki..mwenyeketi wa yanga hana uzoefu..Mwenyekiti wa yanga kashindwa
kuchagua kamati bora za kumsaidia kazi na mbaya kuliko yote bado anizategemea
kwenye utendaji na mawazo...Mwenyekiti anaonekana hana maamuzi na hana msimamo
hata kwa maamuzi mabovu anayofanyaga..mfano kukubali kurudi kwa
papic,alitangaza rufaa dhidi ya zameleki baadae akasema hapana,aligoma dk ya
mwisho kucheza combine na simba n.k..Kwa heshima na taadhima mwenyekiti
nakushauri achia madaraka..Kuachia madaraka si kushindwa bali ni kuonyesha
mapenzi yako dhidi ya kile unachoongoza na sio ww peke yako,tafadhali ndugu
binda achia madaraka...katibu wa yanga huna kazi unayofanya achia
madaraka...sendeu unashindwa hata kuitetea yanga kama afisa habari umeeulizwa
sababu ya yanga kufanyavibaya unasema msiba ww pia ondoka....Kwa jinsi
ninavyoijua yanga bora muondekee wenyewe kabla mambo hajawabadilikia..........mm
sio shabiki wa yanga bali natazama mambo yanavyokwenda
WALIOJADILI NAYE:
Hassanain Yahya: Aibu kiongozi anaomba kura kwa kutangaza
kuifunga Simba tu, safari hii imekula kwao hata Yanga wakiifunga Simba
haisaidii, hata mm naunga mkono wasisubiri maandamano wajitoe wenyewe kabla ya
kutolewa.
Salim Bongoland: yanga kama hatuna uwezo yanini kuingia
mahasara makocha wa bei mbaya tuwape makocha wetu wa tz au africa. na natoa
ushauri uchaguzi wa viongozi uwe 2yrs tu akishindwa kuleta maendeleo out
akiweza agombee tena. yanga wamesajili mizigo michezaji ya nje mapesa kibao
inapotea wanakula pesa tu za wadhamini kuleta michezaji mizigo tuunde yosso
kama ya tambwe leya
Patrick Kahemele: Siyo sahihi kusema mwenyekiti hafai wakati
katupa ubingwa wa tz ba Cecafa, Mimi nadhani tuwape muda viongozi wetu
watekeleze majukumu Yao, Kama ni papic huyu aliletwa na mfadhili wetu
tuliyempokea kwa matarumbeta wakati anarudi klabuni pale airport.
Yanga daima mbele
majungu mwiko



.png)
0 comments:
Post a Comment