• HABARI MPYA

    Thursday, April 06, 2017

    SPURS YAIBUTUA SWANSEA CITY 3-1 PALE PALE LIBERTY

    Heung-Min Son akiruka ruka kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Swansea City Uwanja wa Liberty kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Spurs yalifungwa na Dele Alli 88 na Christian Eriksen la tatu dakika ya 90 na ushei, wakati la Swansea lilifungwa na Wayne Routledge dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YAIBUTUA SWANSEA CITY 3-1 PALE PALE LIBERTY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top