Theo Walcott akishangilia na Mesut Ozil baada ya wote kuifungia Arsenal ikiwalaza wapinzani wao wa London, West Ham United mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Emirates. Ozil alifunga dakika ya 58, Walcott dakika ya 68 wakati lingine lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment