Heung-Min Son akiruka ruka kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Swansea City Uwanja wa Liberty kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Spurs yalifungwa na Dele Alli 88 na Christian Eriksen la tatu dakika ya 90 na ushei, wakati la Swansea lilifungwa na Wayne Routledge dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment