• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2016

  WACHEZAJI REAL MADRID WOTE WAPEWA AUDI, RONALDO ACHUKUA LA 'SILVER'

  Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiendesha gari lake aina ya Audi wakati wakikabidhiwa na wadhamini wao jana. Wachezaji wote wa Real Madrid wamekabidhiwa gari aina ya Audi bure na Ronaldo amechukua la rangi la Fedha 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI REAL MADRID WOTE WAPEWA AUDI, RONALDO ACHUKUA LA 'SILVER' Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top