• HABARI MPYA

  Thursday, November 10, 2016

  UBELGIJI WALAZIMISHA SARE NA UHOLANZI AMSTERDAM ARENA 1-1

  Kiungo wa Chelsea na Ubelgiji, Eden Hazard akipiga krosi mbele ya beki wa Uholanzi na Manchester United, Daley Blind katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Amsterdam Arena mjini Amsterdam, Uholanzi. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 Davy Klaassen akianza kuwafungia Uholanzi kwa penalti dakika ya 38 kabla ya Yannick Carrasco kuisawazishia Ubelgiji dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBELGIJI WALAZIMISHA SARE NA UHOLANZI AMSTERDAM ARENA 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top