• HABARI MPYA

  Thursday, November 03, 2016

  REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE NA LEGIA WARSAW 3-3

  Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akilalamikia jambo wakati wa mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Legia Warsaw usiku huu Uwanja wa Pepsi Arena mjini Warsaw, Poland. Timu hizo zilitoka sare ya 3-3 mabao ya Legia Warsaw yakifungwa na Vadis Odjidja, Miroslav Radovic na Thibault Moulin wakati ya Real yalifungwa na Gareth Bale, Karim Benzema na Mateo Kovacic PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE NA LEGIA WARSAW 3-3 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top