• HABARI MPYA

    Wednesday, November 02, 2016

    GRIEZMANN AIPELEKA ATLETICO MADRID MTOANO LIGI YA MABINGWA

    Antoine Griezmann wa wenyeji Atletico Madrid (kushoto) akishangilia baada ya kufunga mabao yote mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Rostov kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la Rostov lilifungwa na Sardar Azmoun PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GRIEZMANN AIPELEKA ATLETICO MADRID MTOANO LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top