• HABARI MPYA

    Saturday, November 12, 2016

    ENGLAND YASHINDA 3-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Nahodha wa England, Wayne Rooney akilala kuondoa mpira miguuni mwa Ikechi Anya wa Scotland katika mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia jana Uwanja wa Wembley, London. England ilishinda 3-0 mabao ya Daniel Sturridge dakika ya 24, Adam Lallana dakika ya 50 na Gary Cahill dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND YASHINDA 3-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top