• HABARI MPYA

    Monday, October 10, 2016

    WALES YABANWA NYUMBANI, SARE 1-1 NA GEORGIA

    Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia Wales bao la kuongoza dakika ya 10 katika mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Cardiff City wakitoka sare ya 1-1 na Georgia ambao bao lao la kusawazisha lilifungwa na Tornike Okriashvili dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WALES YABANWA NYUMBANI, SARE 1-1 NA GEORGIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top