• HABARI MPYA

    Tuesday, October 11, 2016

    POGBA AING'ARISHA UFARANSA, APIGA BAO PEKEE UHOLANZI YAFA 1-0 KWAO

    Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake kupongezwa baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee dakika ya 30 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Uholanzi usiku wa jana Uwanja wa Amsterdam Arena kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POGBA AING'ARISHA UFARANSA, APIGA BAO PEKEE UHOLANZI YAFA 1-0 KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top