• HABARI MPYA

    Wednesday, October 12, 2016

    MZEE MANGARA TARBU MWENYEKITI WA KIHISTORIA YANGA SC

    Kocha wa Yanga, Tambwe Leya (kushoto), raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akimkabidhi Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mangara Tarbu (wote sasa marehemu) Kombe la ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati walilolitwaa mwaka 1975 visiwani Zanzibar kwa kuwafunga watani, Simba SC 2-0 kwenye fainali Uwanja wa Amaan. Mzee Mangara anapewa heshima ya Mwenyekiti bora kuwahi kutokea Yanga, kutokana na namna alivyoifanyia mambo makubwa klabu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MZEE MANGARA TARBU MWENYEKITI WA KIHISTORIA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top