Mshambuliaji Mbelgiji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 37 akimalizia pasi ya 'mshikaji' wake, Mfaransa Paul Pogba katika ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu, Manchester City Alfajiri yaa leo Uwanja wa NRG mjini Houston, Texas, Marekani. Bao la pili la United lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 39 akimalizia pasi ya Henrikh Mkhitaryan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mourinho says he agreed to replace Ferguson at Man Utd
-
David Moyes succeeded Sir Alex Ferguson at Old Trafford in 2013 but things
could have been so different, Jose Mourinho reveals in a new documentary.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment