Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa akiwatoka mabeki wa Mouloudia Club Alger ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
Winga wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akituliza mpira kifuani mbele ya beki wa MC Alger
Simon Msuva na Thabani Kamusoko wakiruka kwa pamoja kuwania mpira wa juu dhidi ya beki wa MC Alger
Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' akimtoka kiungo wa MC Alger
Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiwatoka wachezaji wa MC Alger
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akijaribu kuwapita wachezaji wa MC Alger
Beki wa Yanga, Vincent Bossou (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa MC Alger
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijivuta kumpita beki wa MC Alger
Kikosi cha Yanga kilichoanza kwenye mechi ya jana na chini ni kikosi cha MC Alger
Ghana winger Kamaldeen Sulemana post cryptic message after tough campaign
with Southampton
-
Ghana winger Kamaldeen Sulemana remains resolute despite a challenging
campaign in England with Southampton FC. The Right to Dream Academy has
battled nig...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment