Wajumbe wa Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Tanzania, maarufu kama Kamati ya Saa 72, Jonas Kiwia (kulia) na Stephen Mnguto (kushoto) baada ya kikao cha jana kujadili malalamiko ya Simba dhidi ya Kagera Sugar kumtumia beki Mohammed Fakhi akiwa ana kadi tatu za njano katika mechi baina ya timu hizo Aprili 2, mwaka huu. Kamti iliipa Simba pointi tatu
Kulia ni Philemon Ntahilaja na kushoto ni Baruan Muhuza
Kulia ni Fatma na kushoto ni Michael Ngogo baada ya kazi ngumu jana


0 comments:
Post a Comment