Wachezani wa Mouloudia Clab Alger wakifanya mazoezi jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kesho dhidi ya wenyeji, Yanga kwenye Uwanja huo
MC Alger walifanya mazoezi mepesi ili kuuzoea Uwanja wa Taifa
MC Alger waliowasili jana usiku kwa ndege yao maalum ya kodi walionekana wachangamfu kwenye mazoezi yao
Na wana wana wachezaji wengi wenye maumbo makubwa
Lakini pia wanaonekana ni wenye kunyumbulika pamoja na ukubwa wa miili yao
Hapa wakijadiliana baada ya mazoezi yao, huku Waandishi wao waliokuja nao wakichukua habari
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago


.png)
0 comments:
Post a Comment