Antoine Griezmann akiteleza kuiwahi pasi ya Angel Correa kumtungua kipa Keylor Navas wa Real Madrid kuisawazishia Atletico Madrid dakika ya 85 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Real walitangulia kwa bao la Pepe dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment