Roberto Firmino akishangilia na Mbrazil mwenzake, Philippe Coutinho baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 72 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Stoke City leo Uwanja wa Bet365, Stoke-on-Trent, Staffordshire kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa Coutinho dakika ya 70, baada ya Jonathan Walters kuwafungia wenyeji dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment