VURUGU ZA JANA SIMBA NA YANGA NA ATHARI ZAKE HADI WATU KUJERUHIWA
Askari Polisi wakimsindikiza mtu mmoja aliyejeruhiwa baada ya vurugu zilizozuka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga wakitoa sare ya 1-1
Mashabiki wa Simba SC wakikimbia mabomu yaliyokuwa yakipigwa na Polisi baada ya vurugu hizo
0 comments:
Post a Comment