Mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akipambana na beki wa Mechelen katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji usiku wa jana Uwanja wa Laminus Arena, Genk. Genk ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Nikolaos Karelis kwa penalti dakika ya 21 na Leon Bailey dakika ya 51, wakati la wageni lilifungwa na Nicolas Verdier dakika ya 10
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
8 hours ago




.png)
0 comments:
Post a Comment