Mshmabuliaji wa Nice, Mario Balotelli akienda nje baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kosa la kuvua jezi wakati anashangilia baada ya kuifungia timu yake bao la usindi zikiwa zimesalia dakika nne mchezo dhidi ya -Lorient kumalizika katika Ligue ! ya Ufaransa. Ricardo Pereira alianza kuifungia Nice dakika ya 11, kabla ya Benjamin Moukandjo kuwasawazishia wageni dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
9 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment