Beki wa kushoto wa Liverpool, James Milner akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi timu yake kwa penalti dakika ya 84 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Liberty. Swansea walitangulia kwa bao la Leroy Fer dakika ya nane, kabla ya Roberto-Firmino kusawazisha dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment