Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Hull City leo Uwanja wa KCOM mjini Hull kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Diego Costa dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment