// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DESCHAMPS AMBEBA MAJERUHI RIBERY KIKOSI CHA MWISHO CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DESCHAMPS AMBEBA MAJERUHI RIBERY KIKOSI CHA MWISHO CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 03, 2014

    DESCHAMPS AMBEBA MAJERUHI RIBERY KIKOSI CHA MWISHO CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA

    Na Mwandishi Wetu, PARIS
    KOCHA wa Ufaransa, Didier Deschamps jana usiku amemjumuisha mshambuliaji wa Bayern Munich Franck Ribery, ambaye hata hivyo ni majeruhi katika kikosi cha mwisho cha timu yake cha wachezaji 23 kitakachokwenda kwenye Fainali za Kombe la Dunia.
    Mabadiliko pekee katika kikosi cha Deschamps ni kipa wa St Etienne, Stephane Ruffierreplacing aliyemuita mwezi uliopita kuchukua nafasi ya majeruhi Steve Mandanda.
    Ufaransa ipo Kundi moja, E na Honduras, Ecuador na Uswisi.
    Mgonjwa kabebwa; Franck Ribery japokuwa majeruhi amebebwa 

    Kikosi kamili ni makipa; Hugo Lloris (Tottenham Hotspur), Stephane Ruffier (St Etienne) na Mickael Landreau (Bastia), mabeki; Mathieu Debuchy (Newcastle United), Lucas Digne (Paris St Germain) Patrice Evra (Manchester United), Laurent Koscielny (Arsenal), Eliaquim Mangala (Porto), Bacary Sagna (Arsenal), Mamadou Sakho (Liverpool) na Raphael Varane (Real Madrid).
    Viungo ni; Yohan Cabaye (Paris St Germain), Clement Grenier (Olympique Lyon), Blaise Matuidi (Paris St Germain), Rio Mavuba (Lille), Paul Pogba (Juventus), Moussa Sissoko (Newcastle United) na Mathieu Valbuena (Olympique Marseille), wakati washambuliaji ni; Karim Benzema (Real Madrid), Olivier Giroud (Arsenal), Antoine Griezmann (Real Sociedad), Loic Remy (Newcastle United) na Franck Ribery (Bayern Munich).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DESCHAMPS AMBEBA MAJERUHI RIBERY KIKOSI CHA MWISHO CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top