![]() |
| Kilimanjaro IV kabla ya kushushwa kwenye Meli iliyoileta nchini |
![]() |
| Inashushwa... |
![]() |
| Inateremshwa majini |
![]() |
| Azam Marine wamekarabati pia eneo la abiria kupumzika wakisubiri usafiri na mfumo mzima wa huduma hadi ofisi za kisasa |
![]() |
| Ofisi mpya za Idara ya Uhamiaji Azam Marine |
![]() |
| Ofisi mpya ya Polisi |
![]() |
| Abiria wanastarehe sasa |
![]() |
| Burudani kwenye Luninga kubwa wakati unangoja boti |
![]() |
| Meneja Mkuu wa Azam Marine, Omar Mohamed Said kushoto akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Kilimanjaro IV |
![]() |
| Mzee Bakhresa alikuwa bize mpaka basi leo |
![]() |
| Anatazama Meli inavyoshushwa |
![]() |
| Mwonekano wa Nje unapoelekea kupanda boti za Azam Marine |
![]() |
| Mzee Bakhresa na Jaffar Iddi nyuma |
![]() |
| Mzee Bakhresa akifuatilia uteremshwaji wa Meli |
![]() |
| Mzee Bakhresa akitoa maelekezo |
![]() |
| Namna hiyo, kila kitu kinakwenda sawa |
![]() |
| Mzee Bakhresa |
![]() |
| Mzee Bakhresa pembeni ya Abdulrazak, moja kati ya majembe ya Azam Marine |
![]() |
| Baaas, iwekeni hapo hapo na mtie nanga; Mzee Bakhresa akitoa maelekezo |























.png)