![]() |
| Mashabiki wa Ashanti wakipuliza vuvuzela |
![]() |
| Kipa wa Villa Squad, Mohamed Bambino akidaka mpira mbele ya kiungo wa Ashanti, Shaaban Habib |
![]() |
| Hii ni patashika... |
![]() |
| Kipa wa Villa, Mohamed Bambino akiruka juu kupangua mpira wa kona |
![]() |
| Beki wa Villa akipiga mpira kichwa kwenye kona ya lango kuokoa moja ya hatari za kutiha |
![]() |
| Ally Mrisho wa Villa Squad akiruka sarakasi kushangilia bao la kwanza la kusawazisha aliloifungia timu yake |
![]() |
| Beki wa Villa Squad kulia akigombea mpira Shaaban Habib wa Ashanti |
![]() |
| Mashabiki wa Ashanti wakiondoka kwa maandamano ya furaha |
![]() |
| Mashabiki wa Villa Squad, wa katikati anakula bia wengine wanaendelea na burudani nyingine |












.png)