Alex Song amekamilisha uhamisho wake kutua Barcelona kwa pauni Milioni 15 na amepigwa picha kwenye Uwanja wa Nou Camp leo baada ya kukamilisha vipimo vya afya.
KARIBU JEMBE: Alex Song akiwa amepozi Nou Camp leo
TIMU LA MASUPA STAA: Song akiwa mwenye furaha kutua timu yenye wachezaji kibao nyota
MAISHA MAPYA: Song akiwa Barcelona
Song dole tupu Barca
kWAHERI. Song katika jezi ya Arsenal
SONG KWA MUHTASARI...
Katika misimu saba ya kuwa Arsenal, amecheza mechi 138 — kati ya hizo 121 alianza — na 122 katika misimu minne iliyopita.
PASI ALIZOTOA — Amepiga pasi 7,312 na kati ya hizo asilimia 85.46 zilifika kwa alengwa. Kiwango cha Ligi Kuu msimu uliopita ni asilimia 79.65. Katika eneo lake ilikuwa ni asilimia 91.25.
KUPITIA MIPIRA MIGUUNI MWA ADUI KWA NGUVU — Amepitia mipira 402 na kufanikiwa kuindosha miguuni mwa adui mipira 309 au asilimia 77. Katika kuwania mipira ya nusu kwa nusu (50-50 battles), aliipata 831 au 1,596.
UBUNIFU — Nafasi 120 za kufunga na mambo adimu zaidi ni pasi za mwisho 11 msimu uliopita.
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk


.png)
0 comments:
Post a Comment