• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 31, 2012

  BENDTNER ATUA JUVE, AFANYIWA VIPIMO VYA AFYA


  Nicklas Bendtner amefanyiwa vipimo vya afya leo Juventus kuelekea mpango wa uhamisho wake kutoka Arsenal. Bendtner, alicheza kwa mkopo Sunderland msimu uliopita, na amekuwa akitafuta njia ya kutokea Emirates tangu kutua kwa Lukas Podolski na Olivier Giroud. Juve ilirejesha nia ya kumsajili Bendtner baada ya kumkosa mshambuliaji wa Manchester United, Dimitar Berbatov.
  Italian job: Nicklas Bendtner is set to leave Arsenal for Juventus
  Nicklas Bendtner anaondoka Arsenal kuelekea Juventus

  Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196205/Nicklas-Bendtner-set-Juventus-medical.html#ixzz258iR6zY2
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENDTNER ATUA JUVE, AFANYIWA VIPIMO VYA AFYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top