Mwanzo > Untagged ADRIANO ATUA FLAMENGO ADRIANO ATUA FLAMENGO Adriano Flamengo ya Brazil imetangaza rasmi kumsajili Adriano kama mchezaji huru na mshambuliaji mwenye nguvu aliyekuwa huru baada ya kuondoka Corinthians mapema mwaka huu, sasa atadumu na Rubro-Negro hadi mwishoni mwa mwaka huu. Wednesday, August 22, 2012
0 comments:
Post a Comment