• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 31, 2012

  VAN DER VAART AREJEA HAMBURG


  Kiungo wa Tottenham, Rafael van der Vaart amerejea Hamburg kwa uhamisho wa pauni Milioni 10.3. Kiungo huyo wa kimataifa wa Uholanzi, amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ya Bundesliga, baada ya kufuzu vipimo vya afya na kukabidhiwa jezi namba 23 ya kufanyia kazi Imtech Arena.
  Welcome back: Hamburg tweeted this picture of Rafael van der Vaart with Frank Arnesen
  KARIBU NYUMBANI: Rafael van der Vaart akiwa na Frank Arnesen

  Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2196221/Rafael-van-der-Vaart-signs-Hamburg-Tottenham.html#ixzz258ZPTQDV
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VAN DER VAART AREJEA HAMBURG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top