• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 26, 2012

  FC KILIMANJARO YAWAPELEKA MSOBEMSOBE SWEDEN

  FC KILIMANJARO IMEIBUGIZA RĹSUNDA FC UGENINI SOLNA BAO 4 - 0 KTK MCHHEZO WA LIGI DARAJA LA SABA NA KUJIWEKA KTK NAFASI YA KUPANDA DARAJA 6 MSIMU UJAO. HADI MAPUMZIKO MECHI ILIKUWA 0 - 0 MABAO YOYE YALIPATIKNA KIPINDI CHA PILI.  KWA MSIMAMO WA LIGI INGIA HAPA -  http://www.everysport.com/sport/-/team/fc-kilimanjaro/119375  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FC KILIMANJARO YAWAPELEKA MSOBEMSOBE SWEDEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top