• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 31, 2012

  ANDY CARROLL ATUA TIMU YA NGASSA

  Done deal: Andy Carroll has signed on loan for West Ham from Liverpool
  HATIMAYE...: Andy Carroll amekamilisha uhamisho wa kopo kwenda West Ham kutoka Liverpool. Pichani mshambuliaji hiyo wa timu iliyowahi kutaka kumsajili Mrisho Ngassa akiwa na jezi ya klabu yake hiyo mpya. Je, atafufua makali yake yaliyomfanya asajiliwe na Wekundu wa Anfield kutoka Newcastle?   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ANDY CARROLL ATUA TIMU YA NGASSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top