• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 25, 2012

  ADAM JOHNSON ATUA SUNDERLAND, FLETCHER AANZA KAZI LEO

  On the move: Johnson has made the switch north to join Sunderland
  Johnson akiwa na jezi ya klabu mpya, Sunderland  Sunderland imekamilisha usajili wa pauni Milioni 10 wa winga wa England, Adam Johnson na mshambuliaji wa Scotland, Steven Fletcher anatarajiwa kuanza kuichezea klabu hiyo ya Stadium of Light dhidi ya Reading leo, kocha Martin O’Neill akiwa ametumia kiasi cha pauni Milioni 22 ndani ya saa 24.

  Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2193250/Adam-Johnson-joins-Sunderland.html#ixzz24WyGkT5e
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ADAM JOHNSON ATUA SUNDERLAND, FLETCHER AANZA KAZI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top