• HABARI MPYA

    Thursday, August 23, 2012

    YANGA WATEMBELEA MAKABURI YA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA

    2. Viongozi wa Yanga wakisubiri kuzuru na kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya Kimbari mwaka 1994.
    1. Yanga wakiwasili katika makaburi ya mauaji ya Kimbari mjini kigali


    3. Wachezaji na viongozi wa Yanga wakipata maelezo kabla ya kuingia kutembelea nyumba ya Makumbusho ya mauaji ya Kimbari

    4. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Yanga, Mama Fatma Karume akiwaongoza viongozi na wachezaji wa Yanga kwenda kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya Kimbari katika eneo la Gisozi mjini Kigali

    5. Yanga mazoezini Uwanja wa Nyamirambo Kigali jana. Picha zote za Saleh Ally, Mhariri kiongozi, gazeti la Championi.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA WATEMBELEA MAKABURI YA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top