• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 28, 2012

  NIKE WAHDAMINI WAPYA ENGLAND, ENZI ZA UMBRO ZAFIKIA TAMATI


  KAMPUNI ya vifaa vya michezo ya Nike, ipo mbioni kusaini mkataba wa udhamini wa vifaa kwa timu ya taifa ya England. 

  Inaaminika Nike watakuwa wadhamini wapya wa vifaa vya michezo England, licha ya ukweli kwamba mkataba wa sasa wa timu hiyo na Umbro unatakiwa kumalizika mwaka 2018. 

  Change strip: How the England kit may look with the Nike swoosh
  ITAKAVYOKUWA JEZI MPYA ENGLAND: kama anavyoonekana Rooney akiwa ameivaa pichani
  New order: Rooney and Co are set to be kitted in strips by Nike instead of Umbro
  JEZI YA ZAMANI: kama anavyoonekana Rooney akiwa ameivaa


   http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2194408/Nike-replace-Umbro-England-kits.html#ixzz24q0E5EJU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NIKE WAHDAMINI WAPYA ENGLAND, ENZI ZA UMBRO ZAFIKIA TAMATI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top